Kilembata-Magharibi

Kilembata-Magharibi (pia Kilabalekan au Kimingar) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walembata kwenye kisiwa cha Lembata. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kilembata-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilembata-Magharibi iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilembata-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.