Kilewo-Eleng ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walewo-Eleng kwenye kisiwa cha Lembata. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kilewo-Eleng imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilewo-Eleng iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilewo-Eleng kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.