Kilian Fischer

Mchezaji mpira wa Ujerumani

Kilian Fischer (alizaliwa 12 Oktoba 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani kwa walio chini ya miaka 21.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilian Fischer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.