Kiligbi
Kiligbi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Waligbi. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiligbi imehesabiwa kuwa watu 15,000. Pia kuna wasemaji 4000 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiligbi iko katika kundi la Kimande.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiligbi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiligbi Ilihifadhiwa 16 Oktoba 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiligbi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lig
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiligbi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |