Kilikia ni eneo la kusini mashariki mwa rasi ya Anatolia (leo nchini Uturuki).

Kilikia katika Anatolia wakati wa Ugiriki wa Kale na Roma ya Kale.

Kadiri ya Agano Jipya, Mtume Paulo alizaliwa huko, katika mji mkuu, Tarso.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri