Kilikuba ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Walikuba. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilikuba imehesabiwa kuwa watu 30,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilikuba iko katika kundi la C30. Kilikuba na Kilikwala zinaelewekana, yaani ni kama lahaja za lugha moja.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilikuba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.