Kilimba-Mashariki ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea na Sierra Leone inayozungumzwa na Walimba. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kilimba-Mashariki nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu 4000. Pia kuna wasemaji 600 nchini Sierra Leone. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilimba-Mashariki iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilimba-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.