Kilimbu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Walimbu. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kilimbu nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 344,000. Pia kuna wasemaji 37,300 nchini Uhindi (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilimbu iko katika kundi la Kikiranti.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilimbu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.