Kilimbum ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Walimbum. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kilimbum imehesabiwa kuwa watu 73,000. Pia kuna wasemaji nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilimbum iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilimbum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.