Kilimo nchini Serbia

Kilimo nchini Serbia ni sekta muhimu ya uchumi wa Serbia inayojumuisha 6.0% ya Pato la Taifa na ina thamani ya euro bilioni 2.416 (hadi 2017).[1]

Kuna jumla ya hekta 3,475,894 za ardhi inayotumika kwa kilimo nchini Serbia, inayojumuisha 67.12% ya jumla ya ardhi inayolimwa inayopatikana (pamoja na ardhi chini ya msitu)[2] Uzalishaji wa kilimo unapatikana zaidi katika mkoa wa kaskazini wa Vojvodina kwenye Uwanda wenye rutuba wa Pannonian (45% ya ardhi yote inayotumika kwa kilimo), na nyanda tambarare za kusini karibu na Sava, Danube na Great Morava

Marejeo hariri

  1. "GROSS DOMESTIC PRODUCT (GDP) 2015 – 2017", stat.gov.rs, Statistical Office of the Republic of Serbia. 
  2. "Agriculture and Enlargement". European Commission. May 2011. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 May 2013. Iliwekwa mnamo 14 June 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilimo nchini Serbia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.