Kilisu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina, Myanmar na Uhindi inayozungumzwa na Walisu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilisu nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 600,000. Pia kuna wasemaji 300,000 nchini Myanmar na 2700 nchini Uhindi (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilisu iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilisu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.