Kiloloda ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waloloda. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiloloda imehesabiwa kuwa watu 15,000, pamoja na wasemaji 2000 wa lahaja ya Kibakun. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiloloda iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiloloda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.