Kilolopo

Lugha ya kijinga

Kilolopo ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kilolopo nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 380,000. Pia kuna wasemaji nchini Myanmar na Laos. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilolopo iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilolopo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.