Kiloma ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Waloma. Isichanganywe na lugha ya Kiloma nchini Cote d'Ivoire. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiloma imehesabiwa kuwa watu 165,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiloma iko katika kundi la Kimande.

Kiloma

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiloma (Liberia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.