Kiluba-Katanga
Lugha ya Kibantu
Kiluba-Katanga ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waluba-Katanga. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiluba-Katanga imehesabiwa kuwa watu milioni moja na nusu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiluba-Katanga iko katika kundi la L30.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiluba-Katanga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiluba-Katanga Ilihifadhiwa 3 Septemba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiluba-Katanga katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lub
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiluba-Katanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |