Kilukpa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Walukpa. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilukpa imehesabiwa kuwa watu 50,000. Pia kuna wasemaji 13,600 nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilukpa iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilukpa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.