Kiluo ni lugha nchini Kamerun iliyozungumzwa na Waluo. Mwaka wa 1995 kulikuwa na mtu mmoja tu aliyeweza kuzungumza Kiluo. Kwa hiyo lugha imetoweka kabisa kwa sasa. Kufuatana na uainishaji wa lugha haijulikani Kiluo kiko katika familia gani ya lugha.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluo (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.