Kima'ya (pia Kisalawati) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wama'ya kwenye visiwa vya Waigeo na Salawati. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kima'ya imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kima'ya iko katika kundi la Kiraja-Ampat.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kima'ya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.