Kimaa ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wamaa. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kimaa imehesabiwa kuwa watu 33,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimaa iko katika kundi la Kibahnariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaa (Vietnam) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.