Kimabire
Kimabire ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wamabire. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimabire imehesabiwa kuwa watu watatu tu. Kwa hiyo lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimabire iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimabire kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimabire Ilihifadhiwa 18 Mei 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimabire katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/muj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimabire kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |