Kimaden ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamaden kwenye kisiwa cha Salawati. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimaden imehesabiwa kuwa watu 600 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaden iko katika kundi la Kiraja-Ampat.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaden kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.