Kimadngele

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kimadngele kilikuwa lugha ya Kidaly nchini Australia iliyozungumzwa na Wamadngele katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimadngele, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimadngele kiko katika kundi la Kimalagmalag.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimadngele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.