Kimafa ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamafa. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimafa imehesabiwa kuwa watu 136,000. Pia kuna wasemaji 4910 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimafa iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimafa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.