Kimairasi ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamairasi. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kimairasi imehesabiwa kuwa watu 3300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimairasi iko katika kundi lake lenyewe la Kimairasi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimairasi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.