Kimakaa
Kimakaa ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamakaa. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimakaa imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakaa iko katika kundi la A80.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimakaa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimakaa Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimakaa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mcp
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimakaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |