Kimala-Malasar ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamala-Malasar. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimala-Malasar imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimala-Malasar iko katika kundi la Kidravidi ya Kusini.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimala-Malasar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.