Kimalagasy

(Elekezwa kutoka Kimalagasi)

Kimalagasy ni mlolongo wa lugha za Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy. Lugha za Kimalagasy hasa ni Kiantankarana, Kibara, Kibetsimisaraka-Kaskazini, Kibetsimisaraka-Kusini, Kimasikoro, Kisakalava, Kimalagasy Sanifu, Kitandroy-Mahafaly, Kitanosy, Kitesaka na Kitsimihety. Idadi ya wasemaji wote wa lugha za Kimalagasy imezidi watu milioni 16. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, lugha za Kimalagasy iko katika kundi la Kibarito.

Kimalagasy

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalagasy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.