Kimalapandaram ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamalapandaram. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimalapandaram imehesabiwa kuwa watu 5850. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalapandaram iko katika kundi la Kimalayalam.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalapandaram kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.