Kimalaryan ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wamalaryan. Mwaka wa 2001 idadi ya Wamalaryan imehesabiwa kuwa watu 35,000 lakini hakuna waliotumia lugha katika maisha yao, yaani lugha imesahauliwa kabisa na wengi. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalaryan iko katika kundi la Kimalayalam.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalaryan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.