Kimalavedan ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamalavedan. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimalavedan imehesabiwa kuwa watu 12,600; hata hivyo siyo wote ambao huitumia lugha yao katika maisha ya kila siku. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalavedan iko katika kundi la Kimalayalam.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalavedan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.