Kimalay ya Berau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Berau imehesabiwa kuwa watu 11,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Berau iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay cha Berau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.