Kimalay ya Jambi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Jambi imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Jambi iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay cha Jambi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.