Kimalay ya Sabah ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wamalay. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Sabah imehesabiwa kuwa watu milioni tatu lakini wengi wao hutumia Kimalay ya Sabah kama lugha ya mawasiliano tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Sabah iko katika kundi la Kimalayiki. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kibrunei.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay cha Sabah kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.