Kimalay cha Bacan
(Elekezwa kutoka Kimalay ya Bacan)
Kimalay ya Bacan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye visiwa vya Halmahera na Mandioli. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Bacan nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu sita tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Bacan iko katika kundi la Kimalayiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimalay ya Bacan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimalay ya Bacan Archived 11 Mei 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimalay ya Bacan katika Glottolog
- lugha ya Kimalay ya Bacan kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimalay cha Bacan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |