Kimalay ya Makassar

Kimalay ya Makassar ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Makassar imehesabiwa kuwa watu 1,880,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Makassar iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay ya Makassar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.