Kimalgana

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kimalgana kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamalgana katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimalgana ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalgana kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalgana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.