Kimamasa
Kimamasa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamamasa kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kimamasa imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimamasa iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimamasa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimamasa Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimamasa katika Glottolog
- lugha ya Kimamasa kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimamasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |