Kimambila (Kamerun)
Kimambila ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamambila. Ni aina mojawapo ya lugha za Kimambila zisemwazo nchi mbalimbali. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimambila kilivyozungumzwa nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimambila iko katika kundi la Kimambiloidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimambila kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimambila Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimambila katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mcu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimambila (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |