Kimamuju (pia Kiudai) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamamuju kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimamuju imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimamuju iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimamuju kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.