Kimanda ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamanda. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimanda imehesabiwa kuwa watu 4040. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanda iko katika kundi la Kigondi-Kui.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimanda (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.