Kimangerr
Kimangerr kilikuwa lugha ya Kigiimbiyu nchini Australia iliyozungumzwa na Wamangerr katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimangerr ilitoweka. Hakuna uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, kwa vile kuna lugha tatu za Kigiimbiyu tu, na zote zilitoweka.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimangerr kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimangerr Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimangerr katika Glottolog
- lugha ya Kimangerr katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimangerr kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |