Kimango ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wamango. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimango imehesabiwa kuwa watu 52,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimango iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimango kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.