Kimangole ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamangole kwenye visiwa vya Mangole na Sulabesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimangole imehesabiwa kuwa watu 7280. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimangole iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimangole kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.