Kimaninka-Konyanka

Kimaninka-Konyanka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea na Liberia inayozungumzwa na Wamaninka. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimaninka-Konyanka nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu 128,000. Pia kuna wasemaji 39,200 nchini Liberia (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaninka-Konyanka iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaninka-Konyanka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.