Kimaninkakan-Magharibi
Kimaninkakan-Magharibi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal, Mali na Gambia inayozungumzwa na Wamalinke. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimaninkakan-Magharibi nchini Senegal imehesabiwa kuwa watu 422,000. Pia kuna wasemaji 100,000 nchini Mali na 3300 nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaninkakan-Magharibi iko katika kundi la Kimande.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimaninkakan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimaninkakan Archived 21 Februari 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimaninkakan katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mlq
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimaninkakan-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |