Kimaninkakan-Mashariki

Kimaninkakan-Mashariki ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea, Sierra Leone na Liberia inayozungumzwa na Wamalinke. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kimaninkakan-Mashariki nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu karibu milioni mbili. Pia kuna wasemaji 108,000 nchini Sierra Leone (2006) na wengine nchini Liberia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaninkakan-Mashariki iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaninkakan-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.