Kimanna-Dora
Kimanna-Dora ilikuwa lugha ya Kidravidi nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wamanna-Dora. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kimanna-Dora tena kwa vile Wamanna-Dora wote wameacha lugha yao na kutumia Kitelugu badala yake. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanna-Dora iko katika kundi la Kitelugu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimanna-Dora kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimanna-Dora Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimanna-Dora katika Glottolog
- lugha ya Kimanna-Dora kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimanna-Dora kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |