Kimannan ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamannan. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimannan imehesabiwa kuwa watu 7850. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimannan iko katika kundi la Kitamil-Kimalayalam.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimannan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.