Kimaranunggu
lugha ya asili ya Australia
Kimaranunggu ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamaranunggu katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kimaranunggu watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaranunggu kiko katika kundi la Kiwagaydy.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimaranunggu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimaranunggu Archived 25 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimaranunggu katika Glottolog
- lugha ya Kimaranunggu katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimaranunggu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |