Kimararit ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wamararit. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimararit imehesabiwa kuwa watu 42,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimararit iko katika kundi la Kisudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimararit kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.